Karibu Brooklyn Boutique! Tupo Mbezi Beach eneo la Tangi Bovu opposite Bill's Lodge, karibu na Lutheran Church Mbezi.
Hapa utapata vitu toka New York city, tunaleta vitu at least mara 3 kwa wiki. Ubora wa vitu vyetu ndio nguzo yetu. Karibu na utafurahia shopping yako, na bei zetu ni za kawaida sana.
No comments:
Post a Comment